^^
Nina moyo wa kuyafanya ila nakatishwa tamaa na heart breakers!! Sijui ka mkosi au ni ka baraka
^^
Oooh!nadhani hujapata ndege ambaye mnafanana mbawa, ili muweze kuruka pamoja.
^^
Nina moyo wa kuyafanya ila nakatishwa tamaa na heart breakers!! Sijui ka mkosi au ni ka baraka
^^
MWEEE!!!! atakuwa kikojozi...
hii ndio break ya wengi na ndio maana katika uhalisia uliyoyasema yanafanyika kwa asilimia ndogo sana japo kila mtu angependa afanye hivyo^^
Nina moyo wa kuyafanya ila nakatishwa tamaa na heart breakers!! Sijui ka mkosi au ni ka baraka
^^
^^
Nina moyo wa kuyafanya ila nakatishwa tamaa na heart breakers!! Sijui ka mkosi au ni ka baraka
^^
nice thread.....are you among them?^^
Tukiweka kando wale wanawake ambao wakiona pesa ya mwanaume ndio hutoa tabasamu la upendo,,wapo wachache sana (wanahesabika) ambao wakifanyiwa mambo yafuatayo na wanaume wawapendao basi nyuso zao hukunjuka na kung'aa kama mwezi angavu.
....
KUKUBALIKA
Wanawake wanapenda sana kukubalika namna walivyo.Awapo nyumbani,njiani,au kazini hujisikia vema pale mwanaume anapotoa kauli za dhati juu ya namna anavyomkubali mpenzi wake. Mpe pongezi kwa bidii yake,mwambie namna unavyofarijika kumpata yeye! Hakika utapata tabasamu lake.
Mwanamke anapokosa kukubalika si ajabu akatumia nguvu mf hudai wanaumwa vichwa,kizunguzungu,au malalamiko madogo madogo ambayo tiba yake ni hitaji la kukubalika.
....
KUONYESHWA HUBA
Mara nyingi wanaume wamekuwa wakionyesha pendo kwa wanawake pale tu wanapotaka ngono au tendo la ndoa.Laiti kama tungejua wanapenda sana kuthaminiwa kihisia tangu mwanzo na bila wakati maalum basi wanaume wangevuna faraja nyingi toka kwa wanawake.
....
ZAWADI ZA KUSHITUKIZA
Zawadi ndogo ndogo ambazo hakuzitarajia ndio sumaku inayoteka hisia ya mwanamke.Ifanye ya kawaida ambayo haina gharama sana na uwe umejua anapenda nini na hataki nini.. Ni jambo dogo lakini litakufungulia mengi.
....
JINSI GANI NI MZURI,,ANAHITAJI KUSIKIA TOKA KWAKO
Huko njiani,kazini amesikia wanaume wengi wakimsifia kuwa yeye ni mzuri (hata kama kwa kweli hana jipya) Lakini lipo hitaji la kusikia kwa kinywa chako kuwa yeye ni mzuri. Wanaume wengi hubeba mashairi mengi kichwani mwanzo wa uhusiano,akishampata mwanamke,neno "u mzuri kipenzi" husikika kwa bahati mbaya.Hata kama amezeeka,anahitaji kuguswa uzuri ni haki
yake,mpe.
....
AWE WA KWANZA KATIKA BAJETI
Inawezekana una mipango kadhaa juu ya mahusiano yenu.Anafurahi kukuta ktk bajeti ya mwezi huu umeanza na jina lake.Hata kama ulichopanga ni kidogo sana,,ajabu ni kuwa wanaume hutaja orodha hata ya kurasa mbili,lakini mpango juu ya mwanamke wake haupo..Hili linawaumiza.. Uwe makini si kila jambo anatakiwa alijue vinginevyo una uhakika na akili yake.. Hapo tabasamu lake utalipata likichanua taratibu.
....
Ruth Peale mwanasaikolojia na mjuzi wa masuala ya wanawake aliwahi kusema "Women need to be loved in small signs,Men need admiration in great signs"
^^
Jichunguze vizuri himidini haiwezekani kila uzi unalalamikia kutendwa wewe hata uwaone wanawake sumu kwako je ni kweli wanawake ndio wanakutenda au unavijikasoro vyako ambavyo wanawake uliokutana nao wamevishindwa think twice bana.
hata wewe unaweza kujidescribe sema si kwa kila jambo.^^
Only others can describe me!
^^
Ila kweli me mwenyewe vitu vidogo sana hunifanya nitabasamu..
^^
Kweli kabisa.. Ndio maana sina papara wala hasira,
Mola akipenda atanipa, Mengine mengi keshanipa ndio maana nipo hapa.
Cc: Blue G christine ibrahim Chujio annito
^^
^^
Tukiweka kando wale wanawake ambao wakiona pesa ya mwanaume ndio hutoa tabasamu la upendo,,wapo wachache sana (wanahesabika) ambao wakifanyiwa mambo yafuatayo na wanaume wawapendao basi nyuso zao hukunjuka na kung'aa kama mwezi angavu.
....
KUKUBALIKA
Wanawake wanapenda sana kukubalika namna walivyo.Awapo nyumbani,njiani,au kazini hujisikia vema pale mwanaume anapotoa kauli za dhati juu ya namna anavyomkubali mpenzi wake. to me, absolutely perfect