Mambo Yanayofanya Kuitwa Mswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo Yanayofanya Kuitwa Mswahili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Jun 2, 2009.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mambo yafuatayo yanatufanya tuitwe Waswahili??
  1. Hupiga simu wakati wa bure au bei nafuu
  2. Chumbani kwako umejaza makopo ya shampoo au perfum ambayo hayana kitu ndani.
  3. Ulipokuwa mdogo ulinunuliwa nguo kubwa eti ili ukue nazo
  4.Store yenu imejaa makorokoro mabovu kibao sababu unaamin ipo siku utayatumia
  5. Mtaan kwenu una majina ya utan kama vile Chausku au pampula n.k
  6. Kusoma kwako ni kusolve past paper unaamn maswali yatarudiwa
  7. 90% vitu ulivyonavyo ni vya KICHINA

  Je wewe upo number ngapi hapo juu?? JIULIZE NA UJIREKEBISHE.
   
 2. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  sasa wewe unataka awe kabila gani? Na asiwe mswahili ihali ndio asili yake....

  Ukoloni na utumwa bado unatutawala.
   
 3. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Hii composition yenyewe ndio uswahili hasa!
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mimi nilidhani unaongelea uswahili wa ubabaishaji. Hizi ni jokes tu. Ila kwangu mswahili ni mtu anayeleta longo longo katika business. Yaani hawezi kutofautisha utani na mambo ya maana. Pia hawezi kutunza muda na ahadi. Zaidi ya yote pesa yake ni ya kutumia leo tu na hajui kitu kinaitwa bajeti. Na mengine mengi ili mradi ni mtu mbabaishaji hata katika mambo ya msingi!
   
 5. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo namba 1 mkuu umepotosha jamii, Mchumi m2 makini ktk kupangilia bajeti unamuita Mswahili?
  Mimi ni mmoja wao plz kwaniaba ya wenzangu. Tunaomba ututake radhi haraka iwezekanavyo.
   
Loading...