Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Mar 24, 2012 #1 Mapenzi yanapobadilika na uoga kuingia. Yaliyowatokea tujuzeni!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Mar 24, 2012 #2 Kama ni ndani ya ndoa picha ya pili haiwezi tokea
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Mar 24, 2012 #3 ushawahi kusikia usemi kuwa....'in love you chase a woman until SHE catches you'?
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,542 Mar 24, 2012 #4 Bishanga said: ushawahi kusikia usemi kuwa....'in love you chase a woman until SHE catches you'? Click to expand... Waulizeni jirani yenu kenya mwanaume kapigwa hadi kavunjwa mbavu na mkono ndo interpretation ya picha no.2 bado we Bishanga kutolewa kiuno na hao ladies wako
Bishanga said: ushawahi kusikia usemi kuwa....'in love you chase a woman until SHE catches you'? Click to expand... Waulizeni jirani yenu kenya mwanaume kapigwa hadi kavunjwa mbavu na mkono ndo interpretation ya picha no.2 bado we Bishanga kutolewa kiuno na hao ladies wako
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 Mar 24, 2012 #5 hii kaliii
Purple JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 2,027 Reaction score 935 Mar 24, 2012 #6 Hata huku kwetu yapo!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Mar 24, 2012 #7 duh, hadi raha!
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Mar 24, 2012 #8 i dont want to witness
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 419 Mar 24, 2012 #9 Duh,wanawake wa Kenya mie wananiwachaga hoi wakiwatwanga waume zao sijui Huyo mume anakuwaje mbele za watoto wake...
Duh,wanawake wa Kenya mie wananiwachaga hoi wakiwatwanga waume zao sijui Huyo mume anakuwaje mbele za watoto wake...
Me370 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2008 Posts 985 Reaction score 293 Mar 24, 2012 #10 madamex said: kama ni ndani ya ndoa picha ya pili haiwezi tokea Click to expand... umekosea inatakiwa useme kama ulitumia kinga picha ya 2 haiwezi tokea.
madamex said: kama ni ndani ya ndoa picha ya pili haiwezi tokea Click to expand... umekosea inatakiwa useme kama ulitumia kinga picha ya 2 haiwezi tokea.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Mar 25, 2012 #11 Me370 said: umekosea inatakiwa useme kama ulitumia kinga picha ya 2 haiwezi tokea. Click to expand... Kwanini utumie kinga na ni mumeo...yaani hata ndani ya ndoa mnazikimbia mimba toka kwa wake zenu?
Me370 said: umekosea inatakiwa useme kama ulitumia kinga picha ya 2 haiwezi tokea. Click to expand... Kwanini utumie kinga na ni mumeo...yaani hata ndani ya ndoa mnazikimbia mimba toka kwa wake zenu?