Komaa na huyo virgin girl mpaka akuelewe.Kosa umefanya ww so mpe muda.Lazima uipe situation muda ili kuweza kurdisha hal ya mwanza.Haiwezekan upumbavu ufanye ww halaf tena ww ndio uwe determinant wa kurudisha hali kama awal tena kwa ku force.Hapana.
Mpe wife time huku ukim bembeleza sanaaa na kuomba radhi huku ukionyesha kujutia kabisaa ulichofanya.Anaweza akakuelwa.Asipokuelewa pia ni haki yake,muache aamue vile yy anaona ni sawa kwake.
Halaf inakuaje unakua mjinga kiasi cha kuruhusu mistake ya kwanza (unplanned & unprotected sex) ikuongoze kwenye mistake ya pil (mimba).
Kwann within 72 hrs hukuamua kumshawish huyo single maza muondoe posibility ya hiyo mimba???