Mambo yameharibika

Ww mtoa mada hivi ni lazma ufanye mapenzi na kila mwanamke???😠😠😠😠😠..ndo ujione ww ni mwanaume wa shoka?? huyo single maza cjui wa marketing, unadai hata hakuwa kwenye akili yako, it means hakukuvutia kingono, sasa ulifanya nae mapenzi wa nn?? usituchoshe bwana unafanya mabalaa yako huko ya kijinga, half unatuchosha humu eti tukupe ushauri

Mm mwenyewe dume la mbegu na urijali wangu, siwezi fanya mapenzi na kila mwanamke anaejileta..wala siwezi shobokea kila demu ninaemuona.. dude, have standards Nemean lion
 
Ww aliyekutoa bikra bado upo naye???
Sent using Jamii Forums mobile app
 
bro, usimwache yule uliekua unampenda, hata kama anataka aende zake, hizo ni hasira tuu, endelea kumrejeza kwako, itachukua muda lakni hasira zikiisha atarudi kwako.

usifanye kosa lingine, wala usifungue mahusiano mapya mengine ya kudum,

muweke karibu kwa kumjali, mtunze mimba yenu, usiruhusu akakutenga mbali nawe,

hata kama anataka aende, jisogeze mwenyewe taratibu huku ukimpa muda wa yeye ku-heal maumivu yake.
fanya haya kama tuu kweli unampenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am so naive to advise on this, but i can remind you one thing, time heals, use the time wisely, it is the good master, a good doctor, a good reconciliator and to achieve its effect, your mind should always be in tranquil.

Hongera kwa kupata watoto wawili.

wana jinsia gani hao watoto? samahani kwa kuuliza.
 
Sikweli kwamba nafanya mapenzi na kila mtu haya mambo yametokea harakaharaka with great impact mkuu
 
Boy and girl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…