"Mambo yameharibika sana"2025

Wao CCM watakuwa hawayaoni kuwa "yameharibika sana". Tafsiri yao ya "kuharibika sana" inaweza kuwa ni tofauti sana na unavyo fikiri wewe na sisi sote.
Lakini hata yakiharibika sana; hilo haliwapi waTanzania matumaini yoyote wakati polisi bado wapo na mitutu yao ikiwa tayari kuhakikisha Mwenyekiti ndiye mmiliki wa chombo hicho cha dola.

Hizi longo longo za akina Kikwete ni porojo tu kama ilivyo kawaida.
 
Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Ni kutabiri sio kutabili
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana.
Kwa mnaosubiri mpaka mambo yaharibike sana, endeleeni kusubiria, sisi wasoma trends, tumeisha zisoma
trends kitambo na tukazieleza humu, ila inaelekea mpaka sasa taarifa HII itakuwa bado haijamfikia, ndio maana bado anaendelea kujiandaa kwa 2025 kama hivi Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi β€œPost 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!, muda muafaka ukifika, taarifa hiyo itamfikia na ataanza maandalizi

P
 
Huo ndio ukweli, Mama Samia atakuwa anaelekea 70s kwa Mwanamke ni umri wa kupumzika. Atakumbukwa kwa kazi aliyofanya kuliko kuendelea kung'ang'ania kwa kusema mitano tena. Wanamshawishi ni wale wananufaika na ufisadi wa mali ya umma kwenye Uongozi wake.
 
Iko Wapi?
 
Kasema wapi mbona hamsemi?
 
Hivi kwa Sasa hapa Tanzania Kuna watu wanaohangaika na wenye element zote za uchawi kuwazidi hawa chadema?!!!!
Yaani wanazungumza mambo ya Giza tu.
 
Vipi ile sauti ya kuwa 2025 anaingia mwanamke?
 
Vipi ile sauti ya kuwa 2025 anaingia mwanamke?
Yes kwa mujibu wa utaratibu na kanuni ya mserereko ya CCM, mgombea urais wa CCM kwa uchaguzi mkuu wa 2025 ni the incumbent president Samia, na kwa vile awamu hii ya kwanza ya Samia imekuja kwa kudra tuu ya Mwenyezi Mungu, hivyo sasa 2025 tuifanye ni zamu ya mwanamke ila mwanamke huyo sio lazima awe ni Samia tuu bali ni yule aliyepangiwa na YEYE, na nikatoa mwito Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
P
 
kweli wewe ni Gabeji
 
Angela Merkel alistaafu na miaka mingapi? Halafu huu ni ubaguzi wa kijinsia usio wa kisayansi, yaani sisi wanaume tuna nini wenginec kina Paul Biya hata kumbukumbu zinacheza na bado wako Ikulu ila mwanamke miaka 70 tuone shida? Mungu akimjalia uhai 2025 ni Mhe. Rais Samia tena. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…