Hakika utabiri wa JK, utakuwa umeanza kutimia😳Kifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana. Rais mstafu kikwete aliweza kuforeshadowing. Ebu msikilize hapa.
Absolutely, ForeshadowingKifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana. Rais mstafu kikwete aliweza kuforeshadowing. Ebu msikilize hapa.
Mambo yameparaganyika kabisaKifasihi hii kauli ya mh
kikwete inaitwa" Foreshadowing" kwa lugha nyepesi ni uwezo wa kutabili tukio lijalo.
Sasa kwa hali ninavyoonekana kufika mwakani June 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana. Rais mstafu kikwete aliweza kuforeshadowing. Ebu msikilize hapa.
Bila shaka mkuu, ila kuna kundi ndani ya mfumo linalomwalibia mama.Hakika utabiri wa JK, utakuwa umeanza kutimia😳
Alitamka kuwa mambo yakiharibika sana, CCM haitamteua Sa"100 kuwa mgombea wake.
Hii ni October 2024, bado mwaka mmoja tuingie Kwenye uchaguzi Mkuu, mambo yameelekea yameharibika sana ................
Kutekana kiholela, kama ilivyotokea Kwa Aly Kibao na baadaye mwili wake kukutwa amekufa............
Hiyo ni dalili mambo yameharibika Sanaa😳
Kutekwa Kwa akina Soka, hivi sasa ni zaidi ya siku 50, bado hawajukikani walipo
Mambo yameharibika Sanaa😭
Itabidi CCM itafute mbadala wa Mama, iwapo itataka ku-survive Kwenye uchaguzi wa mwakani🙏
Kama huyo boya wa msoga anazingua tuambieni tumtumia MAFWELE NA ABDUL WAMSHUGULIKIE😁Yaani hata mimi nilishangaa sana. Anamutabiria mwenyeketi wa ccm mambo kama hayo? alipata wapi ujasiri wa kutabiria mwenyekiti? Je anaposema mambo yawe yameharibika sana, ana maana ni mambo gani hayo?
alisema “Labda mambo yakiharibika sana" pia akasema haamini kama inaweza kuwa hivyo.Kifasihi hii kauli ya mh