Kuto kulipa Madeni ya sekta binafsi ili waishi km mashetaniMambo ya ovyo Kabisa hasa hilo la ujenzi wa Chato Airport..
Mji ambao hauna fursa zozote za kiuchumi kulazimisha uwepo wa Airport na mahali ambapo hamna hata abiria 10 wa kupanda ndege kwa uwezo wao wenyewe.
Duh! Mkuu umeongea kwa uchungu mkubwa. Hakika jambo hili litaitesa sana CCM. Mark my wordsUwanja mkubwa wa ndege Chato, unafanya watu washindwe kupata hata jina linalomfaa Rais wetu. Maana hata ukiwa na roho mbaya kiasi gani, angalao utaona aibu kufanya jambo kama hilo.
Mkuu Wa Bunge wa Zanzibar wamekuja na nn tena? Hizi tarakimu nyengine nimewasikia kina bashe na serukamba.. kwa faida ya sote hapa jukwaani.. tupe updates za wenzetu toka upande wa pili wa jamhuri..1. Uwanja wa Ndege Chato
2. Kupaa deni la Taifa
3. Sekta Binafsi
4. Wabunge wa Zanzibar
5. Kushambuliwa kwa Lissu
6. Hoja ya Mbowe
Mambo haya yote yameonyesha wazi kua Serikali haiendi sawa. Hali ni mbaya sana.