Mambo yakuorder online

Hahaha, kuna vitu na vitu vya ku order online kwa kweli. Tuone tu kwenye picha lakini mtu asiombe yamkute.
 
Sasa hiki kiatuuu au mkatee nawaza tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahaha.... mbona kimekaa kama gongo snake za Congo hahahaha
 
mambo zingine unaweza tukana siku nzima. si kwa hasara kama hizo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…