Baba Rahma
New Member
- Aug 3, 2017
- 2
- 0
Je nimtaalamu ya wa mambo ya mitandao? Kati ya mirackle na gsm ipi inapiga kazi kisawa sawa. Na je kuna Apps inayopiga kazi kama Adobe photo shop? Nakama ipo naiomba.
huo hapo ni uonekano wa gsm kwa ndan
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app