Mambo ya Wakubwa

Huyo aliyesinzia ni nani?
 
Hajasinzia ni pose la picha ndani ya kwata la kufunga kozi ya maafisa!
 
eti wanajifunza uzalendo wakati mafisadi wakubwa waliowahi kutokea katika history ya ki nchi hiki walipiga kwata huko tena lile lenyewe la miezi 6
 
Mbona kombat hazifanani na makuruta?
 
Huyo ni raisi wetu wa 2015: zito oyeeeeeeeee!!
 
Mbona kombat hazifanani na makuruta?

Bina damu wote ni sawa lakini kuna wachache ambao ni sawa zaidi. Ndio maana wamewekwa mbele kabisa nyuma ya kamanda wa paredi ili kuuza sura.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…