P pearson lembele New Member Joined Apr 13, 2018 Posts 2 Reaction score 2 Apr 14, 2018 #1 Hivi wadau tunavyo sema upungufu wa nguvu za kiume ,hapa swala ni kutofikia mshindo Mara nyingi au kuto simamisha uume kwa muda mrefu, hebu tujadili hili tutabainishe
Hivi wadau tunavyo sema upungufu wa nguvu za kiume ,hapa swala ni kutofikia mshindo Mara nyingi au kuto simamisha uume kwa muda mrefu, hebu tujadili hili tutabainishe
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,551 Reaction score 45,102 Apr 14, 2018 #2 Vyote kwa ujumla wake. Kutofikia mshindo mara nyingi + ubor kuwa legelege + kutokudindisha kbs
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,352 Reaction score 26,951 Apr 14, 2018 #3 kusimamisha kwa muda mfupi na kushindwa kurudia tendo. yaani hapo nguvu kwishney babu j.
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,102 Reaction score 2,152 Apr 14, 2018 #4 Vyote kwa pamoja nguvu za kiume hakuna
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,223 Reaction score 12,622 Apr 14, 2018 #5 hata kujihusisha na mambo ya wanaume wenzako ni upungufu wa nguvu za kiume na dalili kuu ya uchoko
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,526 Reaction score 193,518 Apr 14, 2018 #6 Upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na upungufu wa akili na kuwaza mambo yasiyofaa... Kutosimamisha uume kwa muda mrefu ni ulegevu wa misuli ya uume... Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokua na uwezo wa kutia mwanamke mimba... Cc: mahondaw
Upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na upungufu wa akili na kuwaza mambo yasiyofaa... Kutosimamisha uume kwa muda mrefu ni ulegevu wa misuli ya uume... Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokua na uwezo wa kutia mwanamke mimba... Cc: mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 74,209 Reaction score 183,055 Apr 14, 2018 #7 Smart911 said: Upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na upungufu wa akili na kuwaza mambo yasiyofaa... Kutosimamisha uume kwa muda mrefu ni ulegevu wa misuli ya uume... Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokua na uwezo wa kutia mwanamke mimba... Cc: mahondaw Click to expand... Santeeeeeeeeee [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Smart911 said: Upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na upungufu wa akili na kuwaza mambo yasiyofaa... Kutosimamisha uume kwa muda mrefu ni ulegevu wa misuli ya uume... Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokua na uwezo wa kutia mwanamke mimba... Cc: mahondaw Click to expand... Santeeeeeeeeee [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,374 Reaction score 23,004 Apr 14, 2018 #8 Ni kukosa "pesa" na kutokuwa na uwezo wa "kuhimili" match.
Nkolandoto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 4,190 Reaction score 4,165 Apr 14, 2018 #9 Upungufu wa nguvu za kiume ni kushindwa kumridhisha mwanamke Wakati wa gegedo Kumtimizia mahitaji Kumpa surprise ya ukweli
Upungufu wa nguvu za kiume ni kushindwa kumridhisha mwanamke Wakati wa gegedo Kumtimizia mahitaji Kumpa surprise ya ukweli
S Smiling killer JF-Expert Member Joined May 1, 2018 Posts 1,290 Reaction score 1,126 Feb 23, 2019 #10 zipompa said: kusimamisha kwa muda mfupi na kushindwa kurudia tendo. yaani hapo nguvu kwishney babu j. Click to expand... Siyo lazima kurudia tendo unaweza piga bao moja tu lefu lenye maufundi na mwanamke akakojoa hata Mara tatu
zipompa said: kusimamisha kwa muda mfupi na kushindwa kurudia tendo. yaani hapo nguvu kwishney babu j. Click to expand... Siyo lazima kurudia tendo unaweza piga bao moja tu lefu lenye maufundi na mwanamke akakojoa hata Mara tatu