Ndege wanaofanana huruka pamoja.Aisee we jamaa mbona tunaleteana hizo...umenifanya nikumbuke kijijini kwentu aisee, napenda sana huo mrenda wa karanga yaani ugali huwa naona mdogo siku zote nikitengewa huo
kwetu wanaita mnafu [emoji39][emoji39]
Wadau nawaonaEwaaa!!!...
Swadaktaaaaaaaa
Tawire mkuuMambo matamu!peleka kule ktk Uzi wa misosi!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Uchochezi huu
Hahaha mkuu kama ushagonga aisee itabidi kwako iwe dessertAisee...nimetoka kukandamiza Ugali wa udaga si mda sasa hii sijaelewa inaweza ikawa ndo dinner au supper, nieleweshe mkuu, maana mate yanatoka tu hapa.
Hahah, samahan mkuuAisee hatuna hela acha kuturusha mate asee[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
HahahahUkitaka kuniwekea sumu, chapati..
Chapatiiii!
Personal views can't hurt, haina shida mkuunawachukuliaga tofauti sana wanaume wanaopost chakula kwenye social medias
Sorry mkuu
Mi wa pasi ndefu unanitesa unajua
Hahahah, sio matriculation testDah me mdau mkuu wa chapati Tanzania.
Hapo ulitakiwa upate na maharage na chai maziwa.
Wakati wa kutaka kuoa hii ndo itakuwa interview yangu ya awali(aptitude test).
Kabisa !!!, Ona mimi udende unanidondoka.Uchochezi huu
Pole. Jama angejua wengine tumekula kitugani asinge postKabisa !!!, Ona mimi udende unanidondoka.
Hiyo mbona ndio inanogesha mkuu?Huwezi amini huo Mlo umeharibiwa na iyo MIVIAZI MBATATA....Nilivyo sivipendi hamu zote zishaniishia