Mambo ya Volleyball

Alokwambia nani kama wadogo hawafaidi?

Hujiamini nini? Mungu hakuweka ubaguzi kwenye hilo, upo bwan'dodo?
tena madogo ndio wanagonga bure bila gharama zozote zile.
Nalog off
 
Hayo mambo ya johsnesburg
Tuwekee picha hii tuone na mbele kwake isijekuwa ukitaka kulala naye lazima umfunike gunia kichani kwa sura mbaya
ngoja nimvizie siku nikienda tena kwenye game lao.
Nalog off
 
angel siwezi kuhonga milioni wangu,ndo maana nasema walizonazo 'wakubwa' wanafaidi coz wao kum maintain striker kama huyo ni kazi rahisi.kwangu mimi ambaye sina nitabaki kumuitashemeji tu
usikate tamaa wewe au huamini mambo ya zali la mentali? linaweza embe dodo likakudondokea.
Nalog off
 
Usijali...dhambi zako anakubebea Washawasha mana yeye ndio sababu...
nafikiri hizi dhambi tutagawana mimi na wewe farkhina kumbe unajua ya kwamba niliyoyafanya ni makosa halafu umekaa kimya,bila kunifahamisha kwamba napotea,hii mimi sikubali lazima twende wote motoni.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
nafikiri hizi dhambi tutagawana mimi na wewe farkhina kumbe unajua ya kwamba niliyoyafanya ni makosa halafu umekaa kimya,bila kunifahamisha kwamba napotea,hii mimi sikubali lazima twende wote motoni.
Nalog off

Hahahahahaha weee mie sie..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…