kadakokigondile
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 1,872
- 635
Michezo mingine ukiiyangalia yapaswa uwe jasiri la sivyo...
Mambo ya Volleyball hayo.Je, huu mchezo unaupenda au huupendi?
Nalog off
hahahaahaaaaaaaaa,ukisha kuwa prezidaaa lazima vigezo na masharti vizingatiwe kabla ya kumsajili...unaweza ukaomba urais wa club husika.
Nalog off
African womens have behind lol!,God was not in a hurry
dah wakubwa wanafaidi....
dah wakubwa wanafaidi....
Subiri ukue...
Alokwambia nani kama wadogo hawafaidi?
Hujiamini nini? Mungu hakuweka ubaguzi kwenye hilo, upo bwan'dodo?
Mungu nisamehe kwa dhambi ya kutamani
kawaida kupatwa na na mfadhaiko kwa vitu kama hivi.Toooba unaweza kupatwa na mifwazayiko
wanajikuta wanaingia tu ili mradi wakayafurahishe macho yao.Hayo ndo yanawajazaga wazungu majukwaani hata kama mchezo haueleweki.
wanaume ndio tunakuwa wengi.Kwa mtindo huu!
I can imagine mashabiki wengi nii....
unatakiwa ustahamili japo unaumia.Ama usipokuwa jasiri yanakukuta yaliyomkuta yule Mturuki juzi kwenye jumba la sinema!
Kha ha haaaaa!
umeona eh!Ni kweli bhana, shuka halina mfuko ...