Mambo ya uswaxiizzzzx

Mambo ya uswaxiizzzzx

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,001
Reaction score
72,284
USWAZI noma!!
Mama KIDAWA Ni Mjamzito,
Hawezi Kumpa Mumewe Penzi.
Akamwonea Huruma Kwa KIU Aliyo Nayo.
Akampa elfu 5 Akamwambia Akatulize Kiu Kwa ASHURA.
Jamaa Kufika kwa ASHURA Akamtolea Nje, eti hela ndogo.
Mama KIDAWA Akaja Juu Akamwambia Mumewe,
"Usikonde! Nenda Kwa MAGE, ni mtu Wangu
Ila Huyu ASHURA Atanikoma.
Yeye Akiwa Na MIMBA Mumewe nampaga Bure,
Leo Hii Anajifanya Mjanja.
Tutaona akipata mimba!
Baba Kidawa Hoooiii!!!
 
Nimeipenda sana Dinazarde, ila umeniharibia kwa kuweka conclusion ya "Baba kidawa hoiiii" Let the reader imagine his own conclusion. That is the essence of a joke! Thanks!
 
Last edited by a moderator:

We ni mwalimuuuu halo
 
Last edited by a moderator:
We ni mwalimuuuu halo
Nikuambie ukweli Dinazarde. Mimi si mwalimu ila ni mshabiki sana wa jokes na utani. Nazipenda sana jokes kiasi kwamba nimejifunza kanuni za kuandika jokes nzuri. Jokes nyingi hapa kwenye jukwaa ni nzuri sana sana ila kwa bahati mbaya nyingine zimeharibiwa kwa kuongezewa mistari inayopunguza kilo za hiyo joke.
 
Hayaaa nifundishee
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa... Funny just
A friend in need..
 
Alaa kumbe weye Dinazarde si mchoyooo wataka wengine wafaidi siyooo? Haya kaa chonjo kuna thread ntaiita "Kwako Dinazarde" itahusu mambo ya jokes.

Isiwe ya balaaa aa
 
Last edited by a moderator:
Isiwe ya balaaa aa
Ya balaa vipi? Mie sio mtu wa balaa kama Richard Mabala wa Mabalaa! Tunachokizungumzia hapa Dinazarde ni mambo ya jokes - uandishi na kanuni zake - basi. Hiyo thread ntaileta siku za karibuni na title yake itakuwa: Kwako Dinazarde. Sit back and wait to enjoy the thread.
 
Hayaaa ulete notes nyingiiii
 
Last edited by a moderator:
Hayaaa ulete notes nyingiiii
Vuta subiraa Dinazarde. Notes nyingiii mpaka uchoke yakheeeee!
Halafu mwezi wa saba mwaka huu nina mpango wa kutembelea Zanzibar. Utakuwa mwenyeji wangu?
 
Last edited by a moderator:
Vuta subiraa Dinazarde. Notes nyingiii mpaka uchoke yakheeeee!
Halafu mwezi wa saba mwaka huu nina mpango wa kutembelea Zanzibar. Utakuwa mwenyeji wangu?

Mmm wataka kunivunjia mji weyeee mme wangu asipaonee hapaa wataka kuniletea balaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom