Habari jamaa. Ninatumai mko njema.
Ningetaka kushare hapa ladhaa yangu kwenye architecture and decoration.
Labda mtaipdenda na kupata wazo chache. Nipe maoni yako. Kama hautapenda, haina shida, labda siku itakuja , utabadilika wazo.
Kama wewe pia, una elements you want to share with me, karibu, weka.
Halafu, ningetaka kujua mnafikiri gani kuhusu gharama ya kufanya the same hapa nchini.
Unasema kweli, inapendeza sana, lakini hii si marumaru, ni sakafu ya mbao, sijui jina kiswahili, lakini wanaitumia sana Ulaya na Mmarekani, wanaiita "Wooden floor". Unafikiri nini kuhusu vile viti vikubwa ?

Sahihi kabisa! Si Ulaya na Marekani pekee, hata Asia (mf. China na India) wanaitumia sana.
Labda swali sikuliweka vizuri, niliwahi share picture ya floor ya namna hii, mtu mmoja alicomment zipo marumaru pia zenye muonekano huu. Tamaa yangu ni kujua uhalisia wa hizo zilizopo. Kama kweli zipo zinazofanana ni za aina gani/zinaitwaje?