Mke na mume walikubaliana wakitaka kula tundi watatumia lugha ya iusuyo "kupiga simu" ili watoto wasielewe.Basi siku moja walikua wamegombana hawasemezani. Baba akamtuma mtoto: " mwambie mamako nataka simu!" Mama akamwambia mtoto: " mwambie imeharibika!" Baba akanena: " mwambie basi nitakwenda kupiga nje" Mama akamtuma mtoto: "Mwambie akienda kupiga nje na mimi nitafungua simu ya jamii!!!"