Mambo ya selfie & filters

Hivi huyo aliyeko magogoni ana wake wangapi?
 
HApana, huyu dada hajitambui na mkuu kashikwa pabaya.

Pamoja na kwamba ni personal choice lkn ukiwa una ndoto ya kuwa first lady muonekano wako sio personal tena. Ni kwanza muonekano wa chama lkn baadaye ni wa nchi.
Some one has to do something
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…