Fatma Bawazir JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 491 Reaction score 180 Jul 26, 2012 #1 Ikitokea Siku 1 unakula denda kwa Mpenzi wako halafu ukamkuta na PUNJE za WALI mdomoni ukamuuliza "Umetoka KULA? akikujibu kuwa HAPANA.! nimetoka KUTAPIKA utafanyaje?
Ikitokea Siku 1 unakula denda kwa Mpenzi wako halafu ukamkuta na PUNJE za WALI mdomoni ukamuuliza "Umetoka KULA? akikujibu kuwa HAPANA.! nimetoka KUTAPIKA utafanyaje?
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 20,307 Reaction score 24,775 Jul 26, 2012 #2 Ahhahha itakuwa mwanzo na mwisho...kama huna uvumilivu utatapika na wewe pia hapo hapo!utakuwa victim wa milele kwenye midenda!!!
Ahhahha itakuwa mwanzo na mwisho...kama huna uvumilivu utatapika na wewe pia hapo hapo!utakuwa victim wa milele kwenye midenda!!!
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,151 Reaction score 9,273 Jul 26, 2012 #3 dahhh bibie hiyo harufu ya matapishi kwanza hata karibu yake siendi.