Mambo ya Pemba

Mambo ya Pemba

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,559
Reaction score
11,496
Picture206.jpgErick2252.jpgPicture213.jpg
Hayo ndo baadhi ya picha nilizofanikiwa kuchukua pemba mwezi huu wa kumi.
 
hyo picha ya 3 kwao ni kitu ch kawaida sn kwa hzo gari zinazoenda shamba...afu jamaa barabarani wanaendesha gari kwa fujo sn. Niliwahi kupanda hzo gari ninaenda gambe kinazini aise nilitamani kushuka.
 
na ukiingia ndani ya gari unasalimia abiri wote uliowakuta. safi sana
 
Subiri uchaguzi mdogo ndipo utakapojua kuwa tz tuna mijihela sisi!............lakini baada ya uchaguzii hali ndo km uonavyo................wkt wa kampeni wapemba wanashangilia pilau km kawa
 
Back
Top Bottom