Na nimeipemda zaidi...inaonyesha Mama Obama ndio ailikuwa jikoni akitayarisha msosi..ndio maana anaonekana yuko very simple. Yaani hapa hakuna cha hauzi geli wala nini bila shaka.
Huyu mama tuache masihara, huwa namwonea Barack wivu sana......... dah!
Hapa inaonesha JK alikuwa anachanganya past, present na future tense mpaka Obama haelewi na kubaki kumshangaa na kuanza kum-study jamaa kama kweli IQ hiko ya kutosha na kuwa na uhalali wa kuongoza nchi!!!
Rais wa kwa nza kutoka Afrika kukaribishwa na Obama alipochukuwa madaraka.
Dah hapa umeniacha hoi...kumbe jamaa kilaza a.k.a mzito kiasi hicho.Unajua apo Obama amempa 1/3 ya ubongo wake JK afu 2/3 anafikiria solutions za issue za Americans na still wako on the same page na JK...OMG