Mambo ya nyakati....

Mambo uliyotaja hayajawahi kuwa historia. Huwa wanacheza na mambo ya nyakati tu ila hayajawah kubaki historia
 
Uko sahihi kabisa! hayo makundi mawili ya wachawi na hao manabii ni maji na mafuta taa hayawezi kuchanganywa pamoja kamwe.Ikitokea wapo pamoja kwa kazi moja ujue hilo ni igizo la kutengeneza tu.
 
Ila sisi wa kaskazini tuna vi element vya kujiona sisi ndio sisi wengine mafisi wakati kiuhalisia historia ya ukoloni imetubeba.
 
Uko sahihi kabisa! hayo makundi mawili ya wachawi na hao manabii ni maji na mafuta taa hayawezi kuchanganywa pamoja kamwe.Ikitokea wapo pamoja kwa kazi moja ujue hilo ni igizo la kutengeneza tu.
Task force iliyoundwa kwa ajili ya mapambio ya sifa na jik nadhani karibia yote ni form four failures
 
Mshana bwana, Kilimanjaro wakijazana ofisini sawa lakini kabila lingine likijazana kwy ofisi wanapiga kerere hooo ukabila sijui nn?
 
Stupid thread ever!
 
Thithi ni baba dhao na mama dhao! Tutauza hata ngombe kwa kesi ya kuku, HAKI ipatikane.

Chezea Mpare weye!
 
Ungemkalia kimya tu, huyo ni mbumbumbu wa kutupwa hana analojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…