Mambo ya nyakati....

Puzzle hio mkuu
Funguka
Muda hufunua yaliyofunikwa
Mafuvu matatu... Uhai kuwepo na kukoma kuwa HUU NI UUMBAJ
Vyungu vitatu.. Uundaji lakini ukamilifu wake ni lazima moto uwepo.. HUU NI UUNDAJI
Mafiga matatu (hayapo) likikosekana moja huinjiki chungu.. Lakini ili chungu kikamilike kinahitaji moto Ila ni moto huohuo ndio hukatiza na kufisha uumbaji..

Mhh.. Dhana ya kutegemeana... Wakaskazi hawana umoja wana wingi... Hawana umimi... Ni wamoja.. Kuwepo na kukoma kuwepo ni mtandao wa vitu vingi
 
Nijuavyo Kaskazini inajumuisha mikoa ya Kilimanjaro,Tanga,Arusha na Manyara.

Hii zana kuwa Kaskazini ili/imetengwa,ilikuja tu kutoka kwa yule aliyoko Ubelgiji.
Chukua mifano ifuatayo:
Angela Kairuki....waziri wa Madini...Kilimanjaro.
Umi Mwali......Afya.....Tanga.
Ole Nasha.....nw Elimu,Arusha.
Agrey Mwanry....RC Tabora.


Wapo wakuu wa wilay
Regina Chonjo....Morogoro.
Kuna mmoja(Kesy),jina limepotea kidogo...yupo ama Mufinfindi au Mafinga nk.
 
Umeleta majungu nimekujibu kimajungu kama ulivyokuja
Naomba nikueleweshe kwa weledi heshima na upole... Nilichoandika mimi hakiakisi hata chembe... Lakini kwakuwa tayari moyo wako umejaa hadaa ukanitafsiri kwa muktadha wa majungu... Hili ni kosa kubwa kwakuwa ulishindwa kujipa muda wa kusoma kwa utulivu ili uelewe na kutafakari ndio ujibu...
Nilichokiona kwako umetawaliwa na vurugu za kimaono ndio maana unatazama lakini huangaliii
 
Hakuna kitu kinachosimama pekeyake... Kila kitu ni mkusanyiko wa vitu anuwai
 
Hakuna kitu kinachosimama pekeyake... Kila kitu ni mkusanyiko wa vitu anuwai
Sawa,ila hiyo zana ya ukanda haipo,nijuavyo pia ni kuwa mawaziri hutegemea pia idadi ya wabunge katika mkoa au kanda husiki.

Kaskazini haikua na idadi ya wabunge wa CCM wa kutosha kupata idadi kubwa ya mawaziri,ila wapo watu wengi kwenya nafasi mbalimbali,mfano Adolf Mkenda ...katibu mkuu Maliasili na utalii....Balozi John Kijazi....katibu mkuu kiongozi....Ole Gabriel..katibu mkuu Mifugo.

Tuache kuukuza na kuuneza ukanda au ukabila kisa tu hujasikia jina la ukoo wenu ama linalofanania jamii yenu. Kaskazini haijawahi kuachwa nyuma.
 
Kaskazini mashariki ,kaskazini magharibi kuna mwanza ,kagera ,Geita na Mara

Hawa wachaga na wapare wasitake kujiiita wakaskazini peke yako
 
Tuache kuukuza na kuuneza ukanda au ukabila kisa tu hujasikia jina la ukoo wenu ama linalofanania jamii yenu. Kaskazini haijawahi kuachwa nyuma. [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Kaskazini mashariki ,kaskazini magharibi kuna mwanza ,kagera ,Geita na Mara

Hawa wachaga na wapare wasitake kujiiita wakaskazini peke yako
Kwanini unapenda kujiandalia majibu na kuona ndio uhalisia!? Una chuki binafsi na wachaga na wapare?
 
@ Mshana Jr ........ fupisha manenooo...kwamba pa kutizama pameishaaaa.....maslahi ya NCHIIII sio chammaaaaa

mewahi safiri kwenda kaskazini, ..pia. kibondo/kasulu/ ...IDODOMIA wilaya zoteee..///singidaniii......R-chugaaa....TAboraaa...mwanzaaa...lindiii/NTWARAAAaaa////ruangwaaa..njombeee...ludewaaaa...mboziiiii../kyelaaa../tunduma.....kilwaaaaaMasooo...ZANZIBARIiiiii...

Ipo jamii fulani ya watanzaniaaa utaikutaaaaaa..............ni wakimyaaaaaaaaa NEVER TALK much
 
[emoji108][emoji108][emoji109][emoji123][emoji115]
 
Ni kweli Mkuu Mshana, ameanza na Hilo poyoyo Musiba limechezeshwa Sindimba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na bado, musiba amewashika 'mananiliu' kwenye magenge ya usaliti, mpaka mtajinyonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…