Mambo ya msusi hayoo

Kitakuwa kinyago cha kuchonga maana haiwezekani kakalia kitu gani sijui.
 
Kazi na Dawa na hasa ni hicho kigoda ndo kinanishangaza
 
Nchi gani hiyo VAN HEIST?

hao ni Dinka Tribe kutoka Sudan........na hicho alichokalia ni headrest ambacho makabila mengi ya Afrika wanatumia kila mmoja kwa mtindo wake.........google African headrest utaviona........
 

Attachments

  • image.jpg
    31.1 KB · Views: 73
  • image.jpg
    9.3 KB · Views: 78
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…