blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 129
Yes, Mathayo 6:33Mungu
Achana na maisha fanya vitu vingineMimi niliyechelewa sasa nifanyeje
Upo sahihi mkuu na watu wengi wanafia hapa.Duuuh Ila mipango sio matumizi mkumbuke
kaaaz kwel kwel watanzania wengi elim (bachelor degree) wanahitimu kati ya 25—28, na kama unavyojua Tanzania yetu ajira za halaka hadi uwe na connection usipokuwa nayo kuna mwaka utapoteza bila kazi rasmi, had ukae sawa 30 ndo unakazi labda, bado majukumu ya familia kusomesha wadogo, msaada kwa ndugu. yaani daaah tunashida sanaaawataalamu wa maswala ya kijamii wanashauri unapofikisha miaka 30,basi uwe umefikisha asilimia angalau 70 ya malengo ya msingi kama vile elimu,ajira, makazi na hata ndoa..
30-40 ni wakati wa kujidhatiti katika hatua uliyofikia na kuweka mikakati zaidi kufikisha asilimia 100.
40- 60 ni wakati wa kufaidi matunda uliyopanda..
maisha ni yap n.a. vitu vingine n.a. vipiAchana na maisha fanya vitu vingine
Kujitambua....kuacha kua mtu wa kutumia kumbuka pia kusave na kuinvest .....kununua samani kama vitanda. ..Meza,stuli, kununua kiwanja pia ukiweza unaweza Anza kujenga....kua na mpenzi ambae unamalengo yakuanzisha New familia sio chapa ilale. ....kimsingi kama upo ndani I huo umri ndio kipindi chakufanya kazi kwa bidii kutafuta fedha zakufanya yote hayoHabari wana jamvi
Ni mambo gani ya msingi kufanya kabla hujafikisha miaka 28 kwa vijana wa 20-27 yatakayokufanya uwe na maisha yanayopaswa kuishi mtu anayejitambua na mwenye malengo na future yake...
Ukiacha maisha utavigundua hivyo vitu [emoji125] [emoji125] [emoji125]maisha ni yap n.a. vitu vingine n.a. vipi
halafu wote wawe na watoto angalau wanne kila mmojaUwe na altleast wake watatu
Umeandika vizuri.wataalamu wa maswala ya kijamii wanashauri unapofikisha miaka 30,basi uwe umefikisha asilimia angalau 70 ya malengo ya msingi kama vile elimu,ajira, makazi na hata ndoa..
30-40 ni wakati wa kujidhatiti katika hatua uliyofikia na kuweka mikakati zaidi kufikisha asilimia 100.
40- 60 ni wakati wa kufaidi matunda uliyopanda..
Halafu wawe wanaishi kanyumba kamoja wote na watoto waohalafu wote wawe na watoto angalau wanne kila mmoja
Kwenye kutafuta hakuna kuchelewa! Rejea Ibrahim na Sarah!Mimi niliyechelewa sasa nifanyeje
halafu maswala ya kuangalia watoto sijui kula, kuvaa, afya n.k yote unawaachia mama zao, we ni pombe tu na vimada 24/7Halafu wawe wanaishi kanyumba kamoja wote na watoto wao