Mambo ya mitandaoni

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,327
Kwenye maisha ya kila siku kiumbe yoyote lazima akutane na changamoto za dunia Hii sio mchezo Naona kadanganywa atakuwa tajili na mganga akitoka hapo Duuh!!! Koromije akujamuacha mtu salama Hii noma sana Hii gesi ya mtwara Anatafuta kiki kwa pikipiki Mahaba niue Jamaa naona kameza viagra
 
Duhh....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Reactions: BAK
Sijajua ni kwann hii picha inanivutia sana..
Maisha ya uswazi matamu sana hapo utakuta ni mtoto wa baba mwenye nyumba au mke wa mtu ambaye Mme wake Mara nyingi anakuwa safarini: hapo bi dada anakuja kwako kijana bachela kuja kuazima CD au kuangalia tamthiliya...

Hahahaaaa !!! Mapema sana
 
Interesting hahaha....nyingine daaah kutegana mkuu
 
Anaweza kukusababishia matatizo huyo mkuu haswa kama mke wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…