Kama macho yangu yako vema nimeona kavaa shati rangi mbili yaani njano na nyekundu.tena kwenye ukosi uande wa njano kaweka nyekundu na upande wa nyekundu kaweka njano,kwa mimi naona alionyesha uzalendo katika kuvaa shati lile bila kujali kubeza timu fulani.