Mambo ya Mhe. Nchimbi

Mambo ya Mhe. Nchimbi

Sita Sita

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2008
Posts
1,451
Reaction score
631
Kwanza Shati lake lina Utata

alafu pili uzalendo ukamshinda

Wakati amekabidhi yeye mwenyewe

Mwenye macho haambiwi TAZAMA IMG_2551.JPG
 
Automatically kaonyesha yeye ni mwekundu wa msimbazi!!!???
 
Kama macho yangu yako vema nimeona kavaa shati rangi mbili yaani njano na nyekundu.tena kwenye ukosi uande wa njano kaweka nyekundu na upande wa nyekundu kaweka njano,kwa mimi naona alionyesha uzalendo katika kuvaa shati lile bila kujali kubeza timu fulani.
 
Huyu jamaa nimempenda, ni Yanga jumla, kavaa 1/4 nyekundu kuwapumbaza.
 
Back
Top Bottom