Mambo ya MDUARA lahaaa sana

Mambo ya MDUARA lahaaa sana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
754
DSC07972.JPG
 
Msela mwenye suti naona kama kazidiwa.

halafu inaonekana ni sharo baro. mcheki anavyotamani hicho kiuno. mwambie amuogope Mungo aliyemuumba,hayo mambo ya mchanganyiko ameyakataza kwani mkichanganyika tu lazima hisia za kingono ziibuke vichwani. Jiepushe Ngono usisubiri mpaka uvae kondom hapo utakuwa umesha muasi Mungu.
 
wa nyuma aende mbele... na wa mbele arudi nyuma.....
 
Dar kuna raha sana. Ila wanaume wanakula kwa macho mno. am hd pm ni kurushana tu
 
yalaa yalaa yalaa yalaa ya swamadu yalaa, mpaka chini 'paka chini 'paka chinnniiiii
 
Back
Top Bottom