🤣🤣🤣🤣🤣Jukwaa hili ukichunguza sna uchangiaji wa mtu hasa kwenye jukwaa hili, unategemea yeye na mpnz , mke , au mume wake , wameamkaje kwa siku hyo , mfno kuna jamaa yangu kaoa, juz kanisimulia kazinguana na mke wake , nikamwona anashika simu kuchungulia yupo humu ana charaza kataaa ndoa japo skufanikiwa kuona Id yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mrembo mamb[emoji1787]Yaan wangejua[emoji119]
Mamb[emoji12]
Na riwayaVYOTE HIVYO UNAVIPATA KWENYE
1. Filamu
2. Tamthilia
3. Hadithi
Habari yangu Safi tu dada nakusalimia
Shukrani. Ukawe na siku njema!!Habari yangu Safi tu dada nakusalimia
Hii ni kweli Mkuu, wanawake ni viumbe wa tofauti sana, yaani mnaweza mkawa sawa kabisa ila ukashangaa tu kanuna, ukimuuliza vipi anaanza habari za Mwaka juzi.. Dah!!Ndoa sio jambo la mchezo mchezo.... Ndoa ni taasisi ambayo inahitaji kudra za mwenyezi Mungu ili isonge mbele! Yaani mnaweza kwenda Sawa kabisa halafu mmoja wenu na hasa mke akaanzisha shauri kuwa mwaka Jana hukumheshimu kwenye swala flan na mgogoro unaanza kwa ishu za mwaka jana
Asante sanaShukrani. Ukawe na siku njema!!
[emoji23]Uko sawa,ila kuvipata hvyo vitu kwa mtu mmoja ni changamoto sana
Siku hz tunaangalia mwanamke awe na tako ili akibeba mtoto mgongoni asiporomoke
Poa wanguMrembo mamb
Eti jamani!Hii inachangia nini kwenye ndoa?