Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
SijaelewaEbu nione na mm
Sio kweli mkuu. Heshima ni kitu mwanamke anazaliwa nacho.Ndio akikuzidi wewe atakunyanyasa maana atakuona kadogo kwake
Sasa kwani nasema uwongo? Wee moaka andunje kahonga v8 sii mchezo
PoaMambo poa kipenzi, habari ya wewe??
Kumbe avatar ni poaEbu nione na mm
Yeah njoo basi PM PM mremboKumbe avatar ni poa
Mwaka huu lazma soma litaeleweka kama hadi ticha na wewe upo kwenye chama letu la KATAA NDOAKataa ndoa
Jukwaa hili ukichunguza sna uchangiaji wa mtu hasa kwenye jukwaa hili, unategemea yeye na mpnz , mke , au mume wake , wameamkaje kwa siku hyo , mfno kuna jamaa yangu kaoa, juz kanisimulia kazinguana na mke wake , nikamwona anashika simu kuchungulia yupo humu ana charaza kataaa ndoa japo skufanikiwa kuona Id yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee jf raha sana. Mtu mmoja huyo huyo akimka vizuri full madini ila akiwa kapigwa anakuja na mambo ya ajabu.
Hapa umeongea ukweli mtupu[emoji106]
Unashaurije bro. Tuoe au tusubiri kidogo?Hivi mnachukuliaga Ndoa kama tamthilia za kifilipino eeehhhh...!!??
Huu mwandiko sio wako utakuwa umemuomba mdogo wako wa darasa la saba akuandikie.Sasa hihii ila ni hivi ukitaka ndoa nzuri fanya haya .
Tafuta hitaji lako lamoyo sio umbo, tu bali hata anavyokuona akuheshimu ukimkanya anakusikia anaomba msamaha na anamipaka nawewe.
Matunzo umpe ila sio hela zisizo zampangilio hapana maana mnajenga familia so inahitajika mjipimie ukishakuwa mume wamtu punguza uhongaji Kwa ndugu, marafiki na mademu, hela zako weka kwenye kibubu itakuwa useful maana Kuna kupata watoto, ujenzi , chakula , na mengineyo yahitajiyo familia .
Jitambue Mimi sio kijana sio mwanaume single , mie mumr wamtu Nina mke , anayenihitaji kimapenzi , kimatunzo, anauhitaji muda wangu, na wengine wajazilishie
Hawa madogo wanacheza na maisha.Hivi mnachukuliaga Ndoa kama tamthilia za kifilipino eeehhhh...!!??
Kama upo na utayari wa kuoa na kuwa baba, mume na kichwa cha familia basi nashauri oa.Unashaurije bro. Tuoe au tusubiri kidogo?
Kabisa mkuu....Hawa madogo wanacheza na maisha.
Usiwachukulie serious.wengi hawana hata hizo ndoa au wengine ziliwashindaYaani kabisa minakaaga masoma humu watu wanavyo zisemea ndoa then mwisho najinyamazia tu
[emoji23][emoji23]VYOTE HIVYO UNAVIPATA KWENYE
1. Filamu
2. Tamthilia
3. Hadithi