Mambo ya kuzingatia katika ndoa

Sasa hihii ila ni hivi ukitaka ndoa nzuri fanya haya .

Tafuta hitaji lako lamoyo sio umbo, tu bali hata anavyokuona akuheshimu ukimkanya anakusikia anaomba msamaha na anamipaka nawewe.

Matunzo umpe ila sio hela zisizo zampangilio hapana maana mnajenga familia so inahitajika mjipimie ukishakuwa mume wamtu punguza uhongaji Kwa ndugu, marafiki na mademu, hela zako weka kwenye kibubu itakuwa useful maana Kuna kupata watoto, ujenzi , chakula , na mengineyo yahitajiyo familia .

Jitambue Mimi sio kijana sio mwanaume single , mie mumr wamtu Nina mke , anayenihitaji kimapenzi , kimatunzo, anauhitaji muda wangu, na wengine wajazilishie
 
Leo umeamka vyedi sana Unique Flower
 
Aisee jf raha sana. Mtu mmoja huyo huyo akimka vizuri full madini ila akiwa kapigwa anakuja na mambo ya ajabu.


Hapa umeongea ukweli mtupu👍
 
UNATAKIWA KUMZIDI MKEO MAMBO (3).
1.Umri
2.Akili
3.Pesa
MKEO ANATAKIWA KUKUZIDI MAMBO MATANO 1.Subira
2.Upendo
3.Usafi
4.Maombi
5.Mipango
MNATAKIWA MUWE SAWA KWENYE MAMBO MATATU(3)
1.Maelewano
2.Uvumilivu
3.Heshima
WEKA MAONI YAKO KIPI KIMEKOSEKANA
ndoa haina fomula ni dynamics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…