MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
1. Sifia kila kitu kinachofanywa na utawala huo
2. Usiukosoe hadharani utawala huo
3. Jifanye unaupenda sana utawala huo hata kama moyoni unaungua kwa hasira
4. Mbele ya hadhara jifanye unauombea utawala huo lakini ukiwa faragha omba maombi halisi kutoka moyoni mwako
5. Fanyeni mambo yenu kimyakimya ili msiingie matatani
6. Mkilazimishwa kuchangia pesa kwa ajili ya jambo lolote toeni haraka bila kusita ila mtafute njia ya kufidia hela yenu
7. Jionyesheni mnaishi maisha mazuri hata kama mnalalia mlo mmoja kwa siku
8. Vaeni vizuri na muwe wasafi muda wote ili utawala uone kuwa wananchi wana maisha mazuri
Hivi ndivyo wenzetu wa Uganda waliweza kuishi na utawala wa IDD amini dada, ongezea na za kwako
Source: mzee mmoja kutoka uganda