Viwanda mnavyotaja ndio hivyo vya wahindi vya kulipa buku 10 au?1. Kuachana rasmi na uwekezaji wa umeme wa Maji. Mipango yote ya umeme sasa ielekezwe kwenye gesi, nuclear, solar, geothermal, upepo n.k Umeme wa maji kutegemea mvua ni kijima na uliopitwa na wakati.
2.Viwanda vizito na vikubwa, hakuna namna tatizo la ajira hasa kwa vijana litatatiliwa nchi hii bila viwanda vikubwa na vingi. Vinginevyo vijana wataendelea kuwa bodaboda, wamachinga na vinyozi tu kwa wingi.
3. Ugatuzi wa madaraka; Hata kama katiba mpya haitapatikana milele, hii iliyopo inapaswa kurekebishwa kupeleka nguvu zaidi za kufanya maendeleo katika Halmashauri. Ni vigumu nchi hii kuendelea kwa kasi inayotakaiwa kwa mfumo centralized tulio nao ambapo waziri wa ardhi kutoka Ukonga ndiye anategemewa kutatua mgogoro wa ardhi Ushirombo.
Tatizo kubwa Tanzania ni mfumo mbovu wa elimu unaozalisha labor force kubwa ambayo ni useless, tuutengeneze kwanza uwe stable.
Hata huu ufisadi chanzo chake ni hii hii elimu mbovu inayomuandaa mtu vibaya, baadala ya kuwaza kufanya kazi kwa bidii na maarifa mengi kuleta tija bali huwaza kuiba kwa haraka na kujijenga kimaisha, mfumo wa elimu ndio huwashape watu na kuwa jamii bora na sio bora jamii..
Tukifanikiwa katika hili la elimu basi kila kitu kitaenda sawa, na hapa ndio tunapaswa kuanza kufikiria option nyinginezo ikiwepo kuanza kuchimba chuma kwa matumizi ya ndani kwa kiasi kikubwa, kusimamia vyema bandari iwe na tija nk nk.
Heavy industries ni capital intensive na sio labour intensiveUnaelewa maana ya "Heavy Industries"?
Muhindi gani ana viwanda vizito bongo??
Nitakufundisha,Heavy industries ni capital intensive na sio labour intensive
Hatujengi viwanda Kwa Kuiga Bali unafanya kile ambacho una comparative advantage.Nitakufundisha,
Kiwanda kimoja kama Hyundai Motor Group cha Korea Kusini kinaajiri wafanyakazi karibia 280,000. Hizi ni ajira nzuri za moja kwa moja zenye mishahara, bima za afya, likizo n.k Hapo bado hujazungumzia ajira zitokanazo na hizi ajira 280,000 kwa maana ya wafanyakazi bandarini, watoza kodi, maafisa mazingira, wauza vyakula, wasafirishaji n.k
Ukiwa na viwanda 5 tu kama hivi una uhakika wa ajira milioni 1 nzuri, za heshima na za kudumu za moja kwa moja.
Haya ni mawazo mafupi, utamuuzia nani chakula utajirike na uweze kuwapa ajira wanachi wako wakati nchi karibia zote zilizokuzunguka zina uwezo wa kuzalisha chakula chake zenyewe, Tofauti na Kenya mataifa mengine yote yaliyotuzunguka yanaweza kujitosheleza kwa chakula. DRC wakitulia wanalisha watu bilioni 2, Msumbuji kilimo chao kama chetu tu,Hatujengi viwanda Kwa Kuiga Bali unafanya kile ambacho una comparative advantage.
Tanzania imetumia 33% tuu ya arable land yake kwenye Kilimo wakati Nchi kama Zimbabwe,Uganda,Rwanda,Malawi,Ghana wako kwenye 60-90%.
Sisi Tanzania tutakuwa ghafla la chakula la Afrika na Dunia huko ndiko Kuna Watanzania.
Umeme wa maji ulikuwa zamani na ulifaa sana ila kwa sasa dunia inakabiliwa na tatizo kubwa la climate change, umeme wa maji ni sawa na kubeti tu.Umeme wa maji hauna shida, tatizo hamjui kutumia maji kwa ufanisi kuzalisha umeme hata maji yakipatikana kama sasa. Duniani vyanzo vikubwa vya umeme bado ni coal, natural gas na maji in that order. Hizo solar na nuclear is far fetched hasa ukizingatia uchumi na teknolojia yetu. Labda JNHPP itaongeza nguvu.
Umeme wa maji ulikuwa zamani na ulifaa sana ila kwa sasa dunia inakabiliwa na tatizo kubwa la climate change, umeme wa maji ni sawa na kubeti tu.
Twende kwenye gesi sasa, hapa tunaweza vizuri, pia utafiti na uwekezaji mkubwa umeshafanyika eneo la gesi.Umeme wa maji bado unafaa. Ngonjera za climate change achia mizungu yenyewe imeshajenga ndo inaanza kutuletea sisi story za climate change. Kama sio hydroelectric turudi kwenye coal maana nuclear ni dhahiri hatuwezi just yet na solar ndo tutalia kabisa.
Twende kwenye gesi sasa, hapa tunaweza vizuri, pia utafiti na uwekezaji mkubwa umeshafanyika eneo la gesi.