astaghafirullahnguruwe
Picha nzuri1. Konokono (snail) anao uwezo wakulala miaka mitatu
2. Polar bears wote duniani wanatumia mkono wa kushoto
View attachment 1603075
3. Physical ni vigumu kwa nguruwe kuweza angalia angani
View attachment 1603077
4. Hydra. Awa ndo viumbe pekee vya makini ambayo huwa avipotezi uhai. Uwa wana replace Seli zilizo kufa kwa kujitengenezea seli mpya
View attachment 1603081
5. Temporary ndio mamalia pekee duniani asiye weza kuruka
View attachment 1603083
6. Asali ndio chakula pekee duniani kisicho jaribu mwili wa binadamu
View attachment 1603084
7 strawberry ndio Tunda pekee duniani lenye mbegu ardhini ila sio kwenye tunda
View attachment 1603086
8. Majina common duniani ni Mohamed
9. Bullet proof yakwanza vumbuliwa duniani ilidumbukia na muuza cheese mare kaniambia ambae alidunguliwa mara mbili naku poa akaanza a tengenezee bullet proof yake
10. Kwa Kiingereza manara yote duniani yameishia alfabeti iliyo anzIA
11. Mao wa China hajawai kubrash meno yake kipindi cha maisha yake
..naisi ata mate ajawai pewa na walimbwende wa China
12. Msuli imara mwilini ni wa ulimi
13. Kamwe binadamu huwezi jiuwa kwa kujiziba pumzi..
14. Kama ilivyo kwa fingerprint. Vivyo hivo ilivyo kwa ulimi. Kila binadamu anayo unique print yake kwenye ulimi.
15. Kikawaida, binadamu wa kawaida hulala miaka 24
Karibu tujuze unachokijua ambacho kimefanyiwa research
NO research no right to talk
Ndio, Jellyfish ndio kiumbe imortal hua hafi bila kuuawa. Lakini yupo pia kiumbe mwingine wengi hatumfahamu. Anapatikana kwenye Quantum realm, yani ni mdogo mdogo sana sana ainaitwa Tardigrade au Water bear. Huyu kiumbe nae hafi, yupo kila mahali unapopafaamu. Kwenye volcan,kwenye gas, kwenye moto,kwenye maji, kwenye matope angani nk nk. Yupo kila mahali na ndio kiumbe pekee anayeshikilia rekodinya kuweza kuhimili na kuishi maisha yoyote yale hatalishi.hao namba nne ni jamii ya jellyfish??
ooh asante kwa kunielewesha na kuniongezea maarifaNdio, Jellyfish ndio kiumbe imortal hua hafi bila kuuawa. Lakini yupo pia kiumbe mwingine wengi hatumfahamu. Anapatikana kwenye Quantum realm, yani ni mdogo mdogo sana sana ainaitwa Tardigrade au Water bear. Huyu kiumbe nae hafi, yupo kila mahali unapopafaamu. Kwenye volcan,kwenye gas, kwenye moto,kwenye maji, kwenye matope angani nk nk. Yupo kila mahali na ndio kiumbe pekee anayeshikilia rekodinya kuweza kuhimili na kuishi maisha yoyote yale hatalishi.
View attachment 1603112
mimi hapo kwenye bullet proof naona mara kanambia sijaelewa kwa kwelisija elewa kwingine
Mbona kama kavaa koti alafu mbele kafungiwa camera?Ndio, Jellyfish ndio kiumbe imortal hua hafi bila kuuawa. Lakini yupo pia kiumbe mwingine wengi hatumfahamu. Anapatikana kwenye Quantum realm, yani ni mdogo mdogo sana sana ainaitwa Tardigrade au Water bear. Huyu kiumbe nae hafi, yupo kila mahali unapopafaamu. Kwenye volcan,kwenye gas, kwenye moto,kwenye maji, kwenye matope angani nk nk. Yupo kila mahali na ndio kiumbe pekee anayeshikilia rekodinya kuweza kuhimili na kuishi maisha yoyote yale hatalishi.
View attachment 1603112
6. Asali ndio chakula pekee duniani kisicho jaribu mwili wa binadamuTulia urekebishe ieleweke, hebu soma namba 9 utoe ufafanuzi!!
Ndio boss yani mbegu yake iko kwenye mizizHapo kwenye strawberries umedanganya, mbegu za strawberry zinakaa vipi ardhini au ulimaanisha mizizi. Ujweli ni kua strawberry ndio tunda pekee ambalo mbegu huka nje ya tunda sio ndani ya tunda kaa embe,parachiichi,ndizi,Chunga nk nk