Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

Mkuu mimi nina afya njema siyo bonge nakula kwa diet ambayo naandaliwa na dr wangu.


 
Kuna ujambaji unaoashiria kulegea kwa njia ya haja kubwa na kuwafanya watu wafikirie tabia za usenge.
Hata hivyo kujamba ni kipimo cha uzima na hata madaktari wa upasuaji wa tumbo hufuatilia uzima wa mgonjwa kwa kuuliza ikiwa mgonjwa ameanza kujamba.
Mimi binafsi kama ningeweza kudaka ushuzi wa wakazi wa Dar es salaam tu ningeweza kuzalisha nishati ya umeme wa MW 50 kwa siku.
 
Napenda sana kunusa harufu ya ushuzi wangu.
Na nikijamba kisipokuwa na harufu yoyote nachukia sana. Sijui kwanini ila napenda[emoji3]
Yaani usiache. Kunusa harufu ya mnyampo wako kunaimarisha afya yako kitaalam. Utafiti unaonesha kwamba gas inayotokana na kujamba husaidia kukarabati seli aina ya mitochondria na mwisho wake kupunguza athari kama za stroke, pressure na magonjwa mengine. Endelea tu kunusa kwa afya yako.
 
Hahaaa
 
Kila nikimuona nabadili njia asee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…