Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 313
- 533
1. Yamoto Band wameshangiliwa zaidi kuliko Magufuli
2. Wakati Mbowe amewakutanisha Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya amewakutanisha Diamond na Ali Kiba Jangwani,
3. CCM wanajua kuwa mikutano ya UKAWA inapata mafuriko, kwa hiyo nao walijitahidi wapate "mafuriko"
4. Watu wengi wameenda kuwashangaa wasanii, sio kumsikiliza Magufuli. Kumuona Diamond bei ghali, leo wamemuona Live bila kiingilio wataacha kwenda?
5. Magufuli anajua lugha nyingi za makabila kuliko anavyojua matatizo ya wananchi