Hivi tunaweza kusema watz wamekosa maadili na kile kinachoitwa responsbility.tunashindwa kukaa kwenye mstari kama tunavyofanya wakati wa kupiga kura au tunapokuwa bank?HOPELESS.Hata hili serikali ilaumiwe?hapa nakumbuka pale Hostel za mabibo,utakuta wasomi na tai zao wanaparamia madirisha kama hawana akili nzuri.ni shame sana.sijui tuweke mgambo wa jiji kwenye vituo ili kusimamia utaratibu wa kupanda daladala?watz ni bomu sana!