Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 733
Mkazi wa Dar es Salaam akipita dirishani kupanda daladala linalotoa huduma ya usafiri wa abiria kati ya Mbagala na Kivukoni mkoani humo
Mkazi wa Dar es Salaam akipita dirishani kupanda daladala linalotoa huduma ya usafiri wa abiria kati ya Mbagala na Kivukoni mkoani humo
Mbona abiria si wengi? mazoea bwana hatari!
ha ha ha hawakazi wa mbagala hata akisimamisha tax basi ye lazima aingile dirishani!
umenichekesha sana mkuu hehehehehewakazi wa mbagala hata akisimamisha tax basi ye lazima aingile dirishani!