Mambo ya kupanda dalada dirishani...

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
12_10_y5tuhc.jpg

Mkazi wa Dar es Salaam akipita dirishani kupanda daladala linalotoa huduma ya usafiri wa abiria kati ya Mbagala na Kivukoni mkoani humo
 
wakazi wa mbagala hata akisimamisha tax basi ye lazima aingile dirishani!
 
Halafu haya maisha yakitoka tutayamiss kweli! Bora tuendelee hivihivi!
 
huyu yupo upande ambao hauna mlango,upande wa kulia,
kule mlangoni kutakuwa na mapigano hasa ya kugombea kuingia.
 
Hivi tunaweza kusema watz wamekosa maadili na kile kinachoitwa responsbility.tunashindwa kukaa kwenye mstari kama tunavyofanya wakati wa kupiga kura au tunapokuwa bank?HOPELESS.Hata hili serikali ilaumiwe?hapa nakumbuka pale Hostel za mabibo,utakuta wasomi na tai zao wanaparamia madirisha kama hawana akili nzuri.ni shame sana.sijui tuweke mgambo wa jiji kwenye vituo ili kusimamia utaratibu wa kupanda daladala?watz ni bomu sana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom