Mambo ya kujenga mwili

Mwili haujengwi kwa matofali au sio...
 
Nimeutamani huo ugali na rangi yake umepikwa na unga gano
 
Ugali wa mtama huu maarufu sana sumbawanga unaupiga na samaki mwenye chumvi nyingi pembeni usikose dumu la maji
 
Hebu niambie unapikaje mana nnao unga wa mtama huwa napikua uji

Sijui recipe yake mara ya kwanza kula ulikuwa umepikwa tayar hivyo sikuuliza... Ila nadhani unapikwa kawaida kama ugali wa mahindi
 
ugali wa udaga almaarufu huko Tarime au Bada huko usoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…