Mambo ya kufahamu ili uwe bora kwenye Mobile Software

Maswala yako ya DIT usituletee kwenye huu uzi, wewe unafikiri huko DIT walimu wanatoka india? huko DIT wakiweza kufundisha namna ya kuondoa apple id kwenye iPhone nitaenda kwa mbio zote.
Watu tunauzoefu wa kazi miaka na miaka leo hii unambie niende DIT ukanifundishe nini cha ziada? Au kipi kigeni?
Wewe unaona kutoa apple ID kwenye simu unazoletewa za wizi ndo deal.niondolee upumbavu wako!! Unijui na Wala sitaki unijue Mimi nimeanza kutengeenza simu toka 2000.najua humuimu wa kusoma toka kwa qualified people.Watanzania wengi mnapenda shortcuts.kama wewe.daima uwezi jiita fundi Kama ujasomea hicho unachofanya period.
Wewe ni std 7 unaforce watu wakubaliane na umburura wako pumbavu sana wewe
 
Hata mimi sikujui wala hunijui kwenye hoja ya msingi usilete matusi , maana matusi ni dalili ya kushindwa , ebu tetea maoni yako kwa point.

Acha matusi kuwa mtu mwenye hekima .
 
Habari za muda huu ndugu zangu!

Baada ya kuona uhitaji wa watu kutaka kufaham kuhusu mobile software bhas kupitia uzi huu ntaenda kuwafahamisha kuhusu mobile software.
Kwanza kabisa ni lazima uwe na vitu vifuatavyo ili uweze kufanya hii kazi.

1.Desktop au Laptop
2.Internet
3.Flashing tools (Drivers, Roms)
4.USB cable

Ukiwa na vifaa tajwa hapo juu unaweza kabisa anza fanya kazi ya kuwa fundi mobile software ila sio rahis sana inabid upate somo litakalo kuwezesha kupata maarifa ya jinsi ya kutumia hizo flashing tools kulingana na aina ya simu unayoifanyia service.

Kwa maswali na maoni kuhusu mobile software karibuni.

Pia tunaweza wasiliana WhatsApp 0718968027 elitesoftware

Mimi nina simu aina ya samsung J6 simu hii nilikua natumia vizuri tu ikaja update ya kwenda android 10 ambayo nilipoiaccept na kuinstall na kumaliza ikawa na tatizo la touch sasa naelewa hii ni software issue je wapi naweza kupata software y kudowngrade to previous version (version 9 ya android) au je solution yake ni ipi?
 
Ni hivi ushauri wangu ni kuwa mwende mkajifunze kwenye shule husika VETA na DIT muache ukanjanja kwani TCRA muda sio mrefu .itaondoa mafundi wasio na taharuma ya ufundi mitaani kote nchini.
EWURA wameondo mafundi vishika wa umeme?
 
Mimi nina simu aina ya samsung J6 simu hii nilikua natumia vizuri tu ikaja update ya kwenda android 10 ambayo nilipoiaccept na kuinstall na kumaliza ikawa na tatizo la touch sasa naelewa hii ni software issue je wapi naweza kupata software y kudowngrade to previous version (version 9 ya android) au je solution yake ni ipi?
Karibu tukusaidie boss 0718968027
 
Habari za muda huu ndugu zangu!

Baada ya kuona uhitaji wa watu kutaka kufaham kuhusu mobile software bhas kupitia uzi huu ntaenda kuwafahamisha kuhusu mobile software.
Kwanza kabisa ni lazima uwe na vitu vifuatavyo ili uweze kufanya hii kazi.

1.Desktop au Laptop
2.Internet
3.Flashing tools (Drivers, Roms)
4.USB cable

Ukiwa na vifaa tajwa hapo juu unaweza kabisa anza fanya kazi ya kuwa fundi mobile software ila sio rahis sana inabid upate somo litakalo kuwezesha kupata maarifa ya jinsi ya kutumia hizo flashing tools kulingana na aina ya simu unayoifanyia service.

Kwa maswali na maoni kuhusu mobile software karibuni.

Pia tunaweza wasiliana WhatsApp 0718968027 elitesoftware
Duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaona kutoa apple ID kwenye simu unazoletewa za wizi ndo deal.niondolee upumbavu wako!! Unijui na Wala sitaki unijue Mimi nimeanza kutengeenza simu toka 2000.najua humuimu wa kusoma toka kwa qualified people.Watanzania wengi mnapenda shortcuts.kama wewe.daima uwezi jiita fundi Kama ujasomea hicho unachofanya period.
Wewe ni std 7 unaforce watu wakubaliane na umburura wako pumbavu sana wewe
Una Roho ya kwa nini mzee baba wacha watu waweke matrio humu itawasaidia hata hao wa Tid n.k ambao saa zingine hawana uzoefu maana kwenda shule sio kujua kila kitu. Pili watu kupata elimu hawawezi kukuaribia kitumbua yako. Mimi ni fundi wa Elecronic na nimewatoa wengi pia nimejifunza vitu vingi na mimi kwa wtu bila hata ya kwenda Kozi sasa sijui wewe nini kinakuuma watu wakijua mbona You tube wamejaza vitu huko naona wewe unapoonaga huko unatakaga ufe tu.

Wale majamaa wengi ni wasomi ila wanapo weka kule wanajua tu kuna watu majiniaz ambao sio mpaka waende vyuo. Hadi umemkata mtoa mada andasi mazima kisa liroho lako libaya mkuu. Mwache atoe elimu kama watu wataelewa sawa wasipoelewa sawa pia. Huwezi jua MUNGU AMEKUSIDIA NINI KWA MTOA MADA au kwa wapokeaji

Wote wale wale tu! Why mnakimbia shule?? Why mnapenda kujifunza chini ya mwembe,kila siku mnaharibu vitu vya watu na ukanjanja wenu??? Why daima mnatetea ukilaza???so pathetic.Kusema ukweli ndo mnaita roho mbaya?? Kipofu anapomwongoza kipofu wote hupotea?? Wewe unajihitaje fundi electronic bila cheti au shule inayoeleweka🤣🤣🤣🤣.na wewe pia ni pumbafu Kama wengine
 
Taratibu mkuu, ni kweli shule ni muhimu lakini nikijifunza humu alafu ndo nikaenda chuo ntakuwa vizuri zaidi. Hatuwezi kutegemea vyuo pekee, nadhani ni lazima tujifunze kwa njia zozote zile, chuo ni kwenda kuongeza ujuzi tu.
Lazima utambue mtaani kuna mafundi wazuri sana waliojifunza nje ya mfumo rasmi, tusikatishane tamaa.
 
~ msipagawe na maoni ya Hugo mdau chipukizi mtaani ndio kuna maujanja yote huko veta kwenyewe wanatumia mafundi wa mtaani kufundisha hizo kozi za ufundi simu...Mimi nimesoma hiyo vsomo Hanna kitu mnafundishwa kufungua na kufunga simu hamna kozi ya kuflash simu...Mimi nikikimbilia nikajua kuna mambo ya software wanafundisha nikakuta hola,sema nilipata cheti tu...lakini Hamna ujuzi wa maana kule sijui labda huko DIT wanaweza wakawa na kozi ya maana.

~ Mitaani ndio kuna maguru wakutisha....kuna jamaa yupo machinga complex anatengeneza computer lakini hata kusoma jina LA RAM na HARD Disk sijui processor hajui kuvisoma yaani hajui kusoma kiingereza kabisa lakini anapiga kazi balaa.
 
~ Nikianza kuflash simu TCRA hawawezi Nikamata sababu ya cheti chao cha veta...lakini ujuzi ni mtaani YouTube MZEE shusha nondo hapa tujifunze mkuu.
 
kwa jinsi ninavoelewa kazi ya kurepair simu au computer kwanza elimu haiitajiki sana ila ujanja ujanja sana pia sio kwamba haiitaji usome pia elimu inahitajika maana kule kwenye vifaa husika lugha n kingereza bila ngeli kupanda kidogo huwezi fanya kazi maana mimi nina elimu ya shule haijasaidia ila ya mtaani ndo imenisaidia kufanya kaz ya kurepair simu kwa uwezo wote kadr navoweza
 
Habari za muda huu ndugu zangu!

Baada ya kuona uhitaji wa watu kutaka kufaham kuhusu mobile software bhas kupitia uzi huu ntaenda kuwafahamisha kuhusu mobile software.
Kwanza kabisa ni lazima uwe na vitu vifuatavyo ili uweze kufanya hii kazi.

1.Desktop au Laptop
2.Internet
3.Flashing tools (Drivers, Roms)
4.USB cable

Ukiwa na vifaa tajwa hapo juu unaweza kabisa anza fanya kazi ya kuwa fundi mobile software ila sio rahis sana inabid upate somo litakalo kuwezesha kupata maarifa ya jinsi ya kutumia hizo flashing tools kulingana na aina ya simu unayoifanyia service.

Kwa maswali na maoni kuhusu mobile software karibuni.

Pia tunaweza wasiliana WhatsApp 0718968027 elitesoftware
PART TWO
Ili kuweza kuffanya operation ya kuflash sim ni lazima uweze kutambua ni chipset ya aina gani. Kuhusu maana ya chipset pamoja na mada nzima na maelezo ya chipset nitakuja kuandaa uzi wake maalum kwa leo naomba tutambue baazi ya chipset za sim mbalimbali
1. Qualcom
2. Exynos
3. Mediatek (mt)
4. Kirin
5. Spreadtrum
Na zinginezo mfano iphone wana series ya chipset zao. Hivyo kabla ya kuflash ni lazima ujue sim inatumia chipset ya aina gani ili uweze kutumia tool sahihi japokua tools zinakua zina combine chipset so kwa uwelewa wa maswala ya mobile software unaweza nicheck 0718968027
 
Vsomo lazima utumie airtel..ni mpango wa airtel na veta.
 
Una Roho ya kwa nini mzee baba wacha watu waweke matrio humu itawasaidia hata hao wa Tid n.k ambao saa zingine hawana uzoefu maana kwenda shule sio kujua kila kitu. Pili watu kupata elimu hawawezi kukuaribia kitumbua yako. Mimi ni fundi wa Elecronic na nimewatoa wengi pia nimejifunza vitu vingi na mimi. kwa wtu bila hata ya kwenda Kozi sasa sijui wewe nini kinakuuma watu wakijua mbona You tube wamejaza vitu huko naona wewe unapoonaga huko unatakaga ufe tu.

Wale majamaa wengi ni wasomi ila wanapo weka kule wanajua tu kuna watu majiniaz ambao sio mpaka waende vyuo. Hadi umemkata mtoa mada andasi mazima kisa liroho lako libaya mkuu. Mwache atoe elimu kama watu wataelewa sawa wasipoelewa sawa pia. Huwezi jua MUNGU AMEKUSIDIA NINI KWA MTOA MADA au kwa wapokeaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuunga mkono 100%
 
Wewe unaona kutoa apple ID kwenye simu unazoletewa za wizi ndo deal.niondolee upumbavu wako!! Unijui na Wala sitaki unijue Mimi nimeanza kutengeenza simu toka 2000.najua humuimu wa kusoma toka kwa qualified people.Watanzania wengi mnapenda shortcuts.kama wewe.daima uwezi jiita fundi Kama ujasomea hicho unachofanya period.
Wewe ni std 7 unaforce watu wakubaliane na umburura wako pumbavu sana wewe
Ndugu yangu unapofikia mbali kusoma sio inshu Cha umuhimu ukiwa na ujuzi ni Bora zaidi alaf mie Niko chip mbona hizo programming wanatufundishia kwa ajili ya kufaulu mtihan tu sio ku develop app Wala site but Cha umuhimu ujuzi ni Bora kuliko darasa ataa darasan waty wanaondoa ujinga tu ila Talent ni kitu kingine so mtu

Kutoa apple id sio kaz mdogo wangap wapo dit ata window kupiga mpaka leo awajui hiyoo kufungua pc na kufanya maintanance mtihan so chuo sio muhimu Sana kama unaujuzi wako tukae humoo
 
Back
Top Bottom