Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
wanasema mwanamke make up babu natural achia misitu
Wewe unasemaje?
Sijui kama utaeleweka na wadau tasnia hiyo.
mwanamke akiwa na natural beauty yake anavutia zaidi
mwanamke make up babueee natural tuiachie misitu
Ungekuwa karibu hapa ningekunasa kibao kimoja.
ha ha ha ha ungekuwa umekosa busara na unaendeshwa na hasira :A S wink::eek2:
Sasa ndio uandike vile?
Ndiyo nimesema kweli
Mbona umebase kwa akina dada tu? Hao wanaojfany sharo kumbe pesa za wazaz je? Hao wanaonuka midomo kutwa wanashnda na bigjii a.k.a jojo? Hao wanaovaa vitu vya bei kutoka mliman city kw pesa za wazaz huku hal chumban hawez hata piga dek wala kujfulia? Hao wahubirio injili huku wanaongozw na miungu bandia? Hao wanaojfany wanapesa z kutunza wake kumbe za kuiba kwenye mabenk na sehemu nyngine? Kuwa makin unapoandka uz. Mnatusema sana bas tuwaachie jukwaa.