Mambo ya kuchunga ukitembea mjini usiku

Ila kweli wasomi pia wapo hata wale jamaa wa Ile pesa tuma kwenye namba hii wengi wao ni wasomi.
Sasa huyo jamaa wa Jf aliwaibiaje alivyosema mutrack simu zilizoibiwa?
Kuna uzi ulianzishwa ukiuliza Kama Kuna mtu amewahi kuipata simu yake iliyoporwa kwa kutumia cyber polisi yaani kitengo maalumu Cha kufuatilia simu polisi.

Baada ya comment Kama 10 hivi akajitokeza mwamba na ushuhuda mzuri wa kuipata simu yake kwa kuandik id ya huyo yoashi aliyepo humu jf kwamba ndie mtaalamu wa Mambo hayo.

Ghafra Yoashi akaja na mbwembwe zote kwa kujinadi, hiyo Ni kazi ndogo San kwake licha ya baadhi ya wadua wakisema Kuna baadhi ya simu zikibadilishwa imei huwezi kuzipata.

Jamaa akaonesha umwamba wa kibabe pale na akaalika wenye matatizo ya kutafutiwa simu tumuone PM.

Aisee, alitulamba pesa wakubwa kwa wadogo then akapotea hewan mpaka Leo.!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Kwanza sipendagi kkumbuka ka hela kangu dah..!
Bora ningenunulia kiatu na suluali kadeti Safi!![emoji20][emoji20][emoji20]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu wa mjini wanachekesha sana.
Kwa hyo hizo pesa mlimtumia kwa simu au mlimpelekea live kabisa?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu wa mjini wanachekesha sana.
Kwa hyo hizo pesa mlimtumia kwa simu au mlimpelekea live kabisa?
Ilikua ukienda PM anakupa namba ambayo unampigia vizuri kabisa.

Kwa upande wangu alisema yeye kwa vile yupo mbali Mwanza na mimi nipo Iringa.

Akasema nimtumie Rb Whatsapp, Kama Sina Ana Rafiki yake polisi nimuone anisaidie.
Bahati nzuri mimi nilikua nayo tayari. Akasema nitume kiasi cha mwanzo ili aweze kujua simu ipo sehemu gani halafu tukisha jua anitafutie askari rafiki yake ili tukaidake kwa mtu anaye itumia simu yangu.

Nilikataa nikasema askari sio tatizo na mimi ninaye askari wangu. Basi bwana nikatuma kile kiasi, akatakiwa atutumie mkeka ili tuanze kufuatilia simu. Mkeka alotuma sio sahihi maana huwa inatakiwa utumiwe orodha yote ya matumizi ya simu tangu inanunuliwa. Yeye alituma vi code ambavyo hata haviendani na kuipata simu. Halafu kingine nilicho stuka, alisema simu yangu inasoma ipo Boma wakati Iringa hakina sehemu tuiita boma.


Dah basi bwana nimechoka kuandika, itoshe tu kusema baada ya kuona mauza uza mengi nikaja kuwastua wadau kwenye ule uzi kwamba jamaa namtilia mashaka.

Hee, ghafla vikaja vilio na majonzi kumbe wengi tushaa ingia mkenge.[emoji20]
 
Dah haya bhana ndio maisha ya bongo ukipigwa unasahau tu tunasaka hela zingine.
 
Usitembee maeneo yenye miti usiku, jamaa wanaweza kuwa wapo juu au wamebanza kwenye hiyo miti wanavizia wazurura usiku.
 
Usitembee maeneo yenye miti usiku, jamaa wanaweza kuwa wapo juu au wamebanza kwenye hiyo miti wanavizia wazurura usiku

Tumia zig zag style wakati wa kutembea, hama hama uande tofauti wa barabara. Hiyo itakusaidia kumjua adui wako
 
Nipe link mkuu
 
Namba 3 sio kibongo bongo labda mbele huko.
 
Dah!... Mjini shule...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…