Kwendaa! An un educated fool from an un educated school!
Jioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center
1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
2) Mwenye wivu ajinyonge
3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.
Jakaya, hiyo concept tuu, inatosha. Tutakukumbuka kwa memma yako mengi unayotufanyia waTanzania na Tanzania jina lako litatajika Daima. Nna suggest hilo jiji jipya liitwe Jakaya City.
Sipo hapa kufundisha "asyejuwa maana haambiwi maana"
Tanzania haiwezi kuendelea ikiwa chini ya utawala wa CCMJioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center
1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
2) Mwenye wivu ajinyonge
3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.
Jakaya, hiyo concept tuu, inatosha. Tutakukumbuka kwa memma yako mengi unayotufanyia waTanzania na Tanzania jina lako litatajika Daima. Nna suggest hilo jiji jipya liitwe Jakaya City.
Kumbe wewe ndo leo umegundua the Blue diamond city Kigamboni! MMmm Wabongo kazi kweli, Je wajua ni kiasi gani cha fedha wamarekani wamekusudia kuweka kwenye huu mradi? we wajua adhari zake kwa walala hoi wa vijijini? Yote haya ni dhahiri kuwa hujui maana hata mradi wenyewe umeujua leo baada ya karibu miaka mitatu ya kuuzungumza. Pole wabongo madeni hayatalipwa yaishe na maisha ya walala hoi yataendelea kuzamaJioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center
1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
2) Mwenye wivu ajinyonge
3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.
Jakaya, hiyo concept tuu, inatosha. Tutakukumbuka kwa memma yako mengi unayotufanyia waTanzania na Tanzania jina lako litatajika Daima. Nna suggest hilo jiji jipya liitwe Jakaya City.
1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Kumbe wewe ndo leo umegundua the Blue diamond city Kigamboni! MMmm Wabongo kazi kweli, Je wajua ni kiasi gani cha fedha wamarekani wamekusudia kuweka kwenye huu mradi? we wajua adhari zake kwa walala hoi wa vijijini? Yote haya ni dhahiri kuwa hujui maana hata mradi wenyewe umeujua leo baada ya karibu miaka mitatu ya kuuzungumza. Pole wabongo madeni hayatalipwa yaishe na maisha ya walala hoi yataendelea kuzama
3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.
mavazi yako ni magauni na sketi.....3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.
1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Hata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anamjuwa huyo, au hujasikiliza hotuba ya kuzinduwa Bunge?