Mambo ya Kikwete haya hapa...

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,261
3,909
Jioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center

1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.

2) Mwenye wivu ajinyonge

3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.

Jakaya, hiyo concept tuu, inatosha. Tutakukumbuka kwa mema yako mengi unayotufanyia waTanzania na Tanzania jina lako litatajika Daima. Nna suggest hilo jiji jipya liitwe Jakaya City.
 
Jioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center

1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.

2) Mwenye wivu ajinyonge

3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.

Jakaya, hiyo concept tuu, inatosha. Tutakukumbuka kwa memma yako mengi unayotufanyia waTanzania na Tanzania jina lako litatajika Daima. Nna suggest hilo jiji jipya liitwe Jakaya City.

maneno ya kwenye taarabu hayo au wewe kama MBATIA mtoto si riziki ,PUNGA dot com
 
Sipo hapa kufundisha "asiyejuwa maana haambiwi maana"
 
Jioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center

1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.

2) Mwenye wivu ajinyonge

3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.

Jakaya, hiyo concept tuu, inatosha. Tutakukumbuka kwa memma yako mengi unayotufanyia waTanzania na Tanzania jina lako litatajika Daima. Nna suggest hilo jiji jipya liitwe Jakaya City.
Tanzania haiwezi kuendelea ikiwa chini ya utawala wa CCM
......CCM ni jinamizi kwa maendeleo ya Taifa letu
 
Jioneeni wenyewe mambo ya Kikwete: YouTube - Kigamboni - New Dar City Center

1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.

2) Mwenye wivu ajinyonge

3) Kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe.

Jakaya, hiyo concept tuu, inatosha. Tutakukumbuka kwa memma yako mengi unayotufanyia waTanzania na Tanzania jina lako litatajika Daima. Nna suggest hilo jiji jipya liitwe Jakaya City.
Kumbe wewe ndo leo umegundua the Blue diamond city Kigamboni! MMmm Wabongo kazi kweli, Je wajua ni kiasi gani cha fedha wamarekani wamekusudia kuweka kwenye huu mradi? we wajua adhari zake kwa walala hoi wa vijijini? Yote haya ni dhahiri kuwa hujui maana hata mradi wenyewe umeujua leo baada ya karibu miaka mitatu ya kuuzungumza. Pole wabongo madeni hayatalipwa yaishe na maisha ya walala hoi yataendelea kuzama
 
ha ha ha nimeangalia nimechela mwenyewe hizo za kusadikika. Hivi huku si ndo ameuza kwa UAE? Ndoto zote hizi na daraja tu linamshinda mweh akili zenu wengine sijui vipi?
 
ha ha ha nimeangalia nimechela mwenyewe hizo za kusadikika. Hivi huku si ndo ameuza kwa UAE? Ndoto zote hizi na daraja tu linamshinda mweh akili zenu wengine sijui vipi?

1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.
 
1) Mtakufa navyo vijiba vya roho.

Mh we mzima kweli?

Halafu katika video yako unaonyesha daraja la San Francisco hivi wewe unajua mambo haya au unasikia tu? Barabara za kusini zinawashinda sembuse na hiyo teknlojia ya juu ya underground tunnel? Nakushauri utafute documentary za hizi project duniani halafu then ndo uje na hizo taarabu zako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom