englibertm dah ukiwa juu kwenye hiyo hotel naukiangalia kina cha ziwa tanganyika kama ni mwoga aise unaweza usikae pale juu maana kutoka pale juu hotelin mpaka uyaguse maji pana utefu balaa
Ila ni mazingira mazuri mno ukiwa pale juu hoteli
Na hao Zebra wako free kutembea kwenye hiyo hotel maana jamaa ana eneo kubwa sana na ana fukwe nzuri sanaza kuogelea
hayo matenki ni ya kuhifadhi mafuta kabla ya kusafirishwa kwenda burundi na DRC, yanamilkiwa na kampuni mbalimbali kama Total, oilcom, bp n.k. na huo ni mtaa wa Kibirizi
Mazingira yekwetu ni mazuri sana kunaewa nzuri na nikifika nyumbani kwetu ijiji kwetu huwa naenda kupumzika gombe au hilltop hotel naenjoi balaaa kalutigite