mambo ya kenya 1kid one laptop

mambo ya kenya 1kid one laptop

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
993066_205495969574036_365259539_n.png
995824_205115189612114_655530635_n.jpg
 
Muhimu ni classes bana watoto wawe na mazingira mazuri shuleni

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu englibertm, Kenya wako way beyond picha hapo juu,...hawaongelei wanafunzi kukaa chini, madarasa au ualimu..mazingira ya kazi yanayofautiana sana na hapa kwetu TZ.

Nadhani issue hasa ni priorities tu, jirani pia (Rwanda), mambo yao si mabaya..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom