Mambo ya 'katiba mpya' yameishia wapi?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
mbona kelele zilikuwa nyingi sana kuhusu mambo ya katiba mpya?mbona mambo yamekuwa kimya ghafla?au ilishatengenezwa?
 
ile single ilishachuja,si unajua tena bongo kwa kutoa single. sasa hv magamba ndo inaheat!
 
Hi ndo tz bana babu loliondo alisaidia sana now magamba na ccj ya nape hii nchi ni kufikirika kweli
 
Back
Top Bottom